+81 3 4580 9721

Ununuzi wa moja kwa moja kutoka kwa Kampuni za Mnada za Kijapani umerahisishwa nchini

Tanzania

Furahia chaguzi zaidi na

uokowe pesa nyingi

kwa kutumia Auction House Japan

Gari lako litawasilishwa

hadi kwa ngazi wa mlango
mlango wako

Tutashughulikia kila kitu kuanzia ununuzi hadi uwasilishaji

Tunawasilisha magari yaliyohalalishwa na EAA na

ambayo yanazingatia matarajio ya TBS nchini
TANZANIA

Jifunze zaidi

Pata magari yaliyotumika yenye ubora mzuri kupitia mchakato

wetu wa kudhibiti ubora

OMBA HABARI ZAIDI
Jina kamili *
Barua Pepe*
Namba ya simu*

MBONA WATEJA KUTOKA TANZANIA WANAPENDELEA Auction House Japan?

 • Magari yaliyokaguliwa Kikamilifu

  Sisi hukagua kikamilifu magari kabla ya kutoa zabuni ili kuhakikisha ya kwamba hali ya magari hayo ni sawa kama ilivyoelezwa katika hati iliyo na maelezo kuhusu hali ya gari linalonadiwa.

 • Hakikisho ya Bei Bora Zaidi

  Tunatoza ada za chini kabisa za huduma kwa wateja wetu na hakuna ada zilizofichwa.

 • Usafirishaji Kasi kwa Kutumia Meli

  Kupitia ushirika wetu na makampuni ya kusafirisha kwa kutumia meli, tuna uwezo wa kutoa huduma ya usafirishaji kasi kwa njia ya meli hadi Msumbiji.

 • Mtandao Mkubwa

  Tunahusishwa na kampuni 145+ za mnada nchini Japani ambazo zinatuwezesha kufikia zaidi ya magari 145,000 kila wiki.

 • 24/7 Msaada kwa Wataja Unapatikana

  Mameneja wetu wa akaunti ambao wamejitolea kwa dhati hupatikana kila wakati kusaidia wateja wetu kwa kila hatua, kutoka kwa utoaji zabuni hadi uwasilishaji salama wa gari.


UWASILISHAJI WA PEKEE NA HUDUMA ZA UKAMILISHAJI WA TARATIBU ZA FORODHA KWA WATEJA NCHINI TANZANIA


 • Wakala wa Forodha
  TRANSFREIGHT LOGISTICS LTD.

 • Ofisi ya Nyaraka za ndani (B / L)
  CW SHIPPING TANZANIA LTD.

SHUHUDA ZA WATEJA

Kupata gari kutoka Japan si vigumu kama inavyoonekana kwa sababu tuna Auction House Japan. Ni jambo linalonishangaza kuona jinsi walivyonirahishia na pia kwa bei ya chini sana.

Farha Karoli -
Toyota Harrier

Ninapendekeza mtu yeyote anayetafuta gari lilitumika, awasiliane na auction house japan. Wako na mawakala bora, ambao wanakusaidia kupata gari nzuri kulingana na mahitaji yako, na katika kiwango chako cha bei. Asante AHJ kwa kuniletea gari langu jipya.

Davis Kanumba -
Nissan X-Trail